Video | Ambulance ya Iran iliyolengwa na shambulizi la bomu la Israel imewekwa sehemu ya maonyesho kwa umma + Video
19 Juni 2025 - 19:23
News ID: 1699730
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Ambulance hii iliyokuwa na wafanyakazi wa Mwezi Mwekundu na kushambuliwa na Israel na hatimaye kupata Shahada, imewekwa katika eneo la wazi la Medani ya (7_Tir) katika Jiji la Tehran kwa ajili ya maonyesho kwa umma waweze kushuhudia kiwango cha jinai ya Kizayuni namba ilivyo.
Your Comment